mkananguja
Member
- Jan 30, 2014
- 55
- 3
Mie ni mtumishi niliyepata kibali cha uhamisho wa kubadilishana ila ofisi ya utumishi hawataki kutufungia datasheet (TAARIFA ZA UTUMISHI) ili niweze /tuweze kwenda kituo kipya hadi tuwalete tuliobadilishana nao hadi sasa wengi wetu hatuja hama # LUDEWA # 0753884902 & #0717277949