I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 326
Somo lililopita tuliishia kwenye background of the study na statement of the problems, leo tunaendelea kwenye significance of the study mpaka kwenye scope of the study.
NOTE 1: Kwa leo tuishie hapa tukipata nafasi tutaendelea na chapter two siku nyingine ambapo tuta angalia vitu kama empirical literature review, theoretical literature review, conceptual framework, information gap etc 1.
NOTE 2: Kila chuo huwa na guidlines yake kwa hiyo usishangae kuona baadhi ya vitu vipo chapter one wakati chuoni kwako vipo chapter two etc
- Background of the study; Hapa unatakiwa uangalie the role of local vendor ya dunia nzima uje africa arafu uje nchini mwako mwisho uje katika eneo unalo kwenda kufanyia study NOTE; sio lazima ufate hivyo vyote kila supervisor huwa ana mtazamo wake mwingine atataka uanze Africa uje nchini mwako then kwenye eneo unalo fanyia study, mwingine hata takautoke nje ya nch yako atataka uanze national level then local level... kwa hiyo ita tegemeana na supervisor wako anataka nini kwenye background of the study.
- Statement of the problems; Hapa unatakiwa ueleze tatizo ulilo liona ni nini ukiangalia kwa mfao wa title yetu tuna taka ku assess mchango wa local vendor katika kuendeleza uchumi... so tatizo tulilo nalo ni kutaka kuangalia mchango ambao local vendor wanao katika kuendeleza uchumi...hapa utatakiwa pia uwe na literature review za kutoka sehemu mbalimbali pamoja na kwenye nch yako pia ili uweze support statement of the problems yako.
- Significance of the study: Hapa unatakiwa ueleze umuhimu wa study yako kina nani watakao faidika nayo kwa mfano: ministry flani au idara flani kama ya kilimo.. wanafunzi wenzio.. jamii uliyo enda kuifanyia study.. au serikali kama ya kijiji au ya wilaya
- Research objective: Hapa unatakiwa uwe na general objective na specific objective, general ojective mara nyingi huwa ni ile title yako.. specific objective inatakiwa kutoka ndani ya general objective yako... unaivunja vipande vipande.. na inategemea unaweza kuwa na specific kuanzia mbili na kuendelea inategemea na muongozo wa supervisor wako
- Research question: Hizi huwa zinatokana na specific objective zako na ndizo utakazo kuja kutengenezea research questionnaire mwishoni.. kama una specific objective tatu.. basi unatakiwa uwe na specific research nazo tatu, kama n nne nazo zinatakiwa kuwa nne hivyo hivyo
- Scope of the Study: Hapa unaeleza ukuwa wa eneo lako ambalo utakalo lifanyia research, kama ni wilaya au kata.. unatakiwa uielezee hiyo sehemu unaweza kwenda mbali kidogo ukaonyesha ni kina nani na nani watakao husika zaidi na hiyo research yako
NOTE 1: Kwa leo tuishie hapa tukipata nafasi tutaendelea na chapter two siku nyingine ambapo tuta angalia vitu kama empirical literature review, theoretical literature review, conceptual framework, information gap etc 1.
NOTE 2: Kila chuo huwa na guidlines yake kwa hiyo usishangae kuona baadhi ya vitu vipo chapter one wakati chuoni kwako vipo chapter two etc