SECOND
SELECTION
KIDATO CHA 5
Baadhi yenu mmeulizia kuhusu second selection ya Kidato cha 5 mwaka huu. Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI ndiyo wenye jukumu la kupanga wanafunzi kwenda Kidato cha 5...
Mimi nimemaliza kidato cha sita nataka niombe UDOM kozi maalum iyo ya sayansi kwa kutumia matokeo ya cha nne, vipi wakubwa utaratibu kwa mwaka huu
Habari yenu!
Leo napenda kutoa taarifa...
Habari wakuu, naomba kujua kama kuna mtu ana ufahamu juu ya kupanda daraja kwa walimu walioanza kazi mwaka huo cause mwisho wa januari 2015 tunaanza mwaka wa 5 kazini.
Kwa muda mrefu wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma wamekuwa wakilalamikia uongozi wa kitivo cha Elimu kutoa matokeo ya wanafunzi yaani mwaka wa tatu kwenye karatasi za kawaida A4 na printing ya...
Jaman naomba kuliza post zinatoka lini?
Kwa wale wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri ktk mitihan yao ya kumaliza elimu ya secondary na kufanya vizuri ila Serikali ya Tanzania ikashindwa...
Mimi ni Degree holder.. katika masomo ya Geography/ History. Nina experience ya miaka mitano. Natafuta shule ya secondary nijitolee kwa miaka miwili. Kwa atakayenihitaji ntampa ushirikiano.
Cheti changu cha form six kiliungua shuleni baada ya jengo lililokuwa lina hifadhi vyeti kuchomwa na wanafunzi.
Shule ikanipa maelezo ambayo niliambiwa nipeleke NECTA, baada ya kufika NECTA...
Poleni sana ndugu kwa presha mlizopata kutokana na kusumbua kwa website ya TCU kuanzia ijumaa ya tarehe 14.
Habari za uhakika kutoka TCU ni kua wameongeza mda mpk tarehe 30 mwezi huu na kuhusu...
Ndugu zangu mziwanda wangu ndo hivo Mungu akipenda anamaliza Darasa la saba mwezi wa 9, mitihani ya kujiunga itaanza soon kwa shule za private.
Mtoto uwezo wake mzuri toka grade 1. Siko nyumbani...
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu natafuta kaz ya ualimu wa hesabu.nina bachelor degree of mathematics.....mikoa ni kilmanjaro arusha au dar
Kwa mikoa mingine kuwe kuna malazi kutoka shule husika
Wadau Wa Elimu Mkoa Husika Wamesema Kutokana Na Kiwango Cha Kufeli Kuongezeka Mwaka Jana Na Kushindwa Kufikia Malengo Ya BRN Hatua Zifuatazo Zitachukuliwa.
Kwanza Kuwahamisha Walimu Waliojaa...
Salaam wanajf;
Leo nilitaka kununua voucher ya TCU kwa bahati mbaya nikakosea nikanunua ya NACTE..please mwenye kuhitaji voucher hii hata kwa Elfu 40 au tubadilishane anipigie..
Namba ni 0673...
Salaam wanajf..
Baada ya kukosea kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE takribani wiki 2 zilizopita na kuwapigia wahusika bila mafanikio.. nimeamua kuuza vocha hiyo kwa bei nafuu zaidi..naomba...
Almost wanafunzi wote wanategemea udhamini wa bodi ili hali uwezo wa bodi sio kwa kiasi hicho, naomba wazazi wafahamu kuwa sio lazima kwa mtoto kusomeshwa na serikali hivyo wajiandae mapema.
Kwa...
Wakuu poleni kwa majukumu.napenda kufahamishwa kama inawezekana mwalimu akafanyia field should flani Na kisha kupangiwa kituo kilekile cha kazi? Kama inawezekana ni hatua gani hufuatwa?
Wanajamvi nakuja mbele yenu nikiamini hili ni jukwaa lenye msaada na ushauri mkubwa kwa wadau mbalimbali,
Ni hvi, nina chalii wangu umri miaka 15 ambaye yupo std 7 na uwezo wake kwa darasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.