Hivi ni kweli walimu mishahara kupanda mwezi 8?

Hivi ni kweli walimu mishahara kupanda mwezi 8?

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
372
Reaction score
309
Nasikia tu kuwa Rais Kikwete alisema huko Arusha, uhakika unahitajika kwa mwenye taarifa sahihi!
 
jaman elimu imewakomboa kweli?? mwez wa 8 ndo huu salary haina zaidi ya siku 5 itatoka!! kwanini uanze mambe ya kuambiwa ukisubiri hyo week uone utafanyaje??
 
Shemeji ataongeza minofu ya maana. Kumbuka July alitupia mchuzi tu.

Uwe na subira hata hivyo huku kijijini mshara wangu ni kufuru coz natumia 50000 tu na kati ya hizo 20000 ni kiwese cha liboksaa langu.
 
mimi ndo hata sielewi kwa sababu mshahara wa mwezi wa 7 haukuwa na mabadiliko yaani hata nyongeza haikuwepo!
 
mimi ndo hata sielewi kwa sababu mshahara wa mwezi wa 7 haukuwa na mabadiliko yaani hata nyongeza haikuwepo!

Acha uongo waajiriwa wa serikalini wote mishahara ilipanda July..... hakuna mtumishi asiyepata nyongeza mwezi July....
 
Vijana kuweni na subila maana serikari yenu Sikivu inalitambua hilo. Ila kumbuken kupiga kulaaaaa kwaaaaa,,,,,,,,nadhan mmenielewa
 
mimi ndo hata sielewi kwa sababu mshahara wa mwezi wa 7 haukuwa na mabadiliko yaani hata nyongeza haikuwepo!

Acha saund rabda wewe umejiajili but in case of government sector mabadiliko huwa mwez wa 7
 
Kama kupandishwa madaraja tu ni tatizo! Wewe unafikiri itakuwa rahisi kuongeza mshahara?
 
Shemeji unatuachaje? Jk alisema akiwa hotelini kingurudoto kwamba walimu wataongezwa mishahara mwishoni mwa mwez8 alisema hatosema ni kiasi,kuhofia wafanyabiashara kupandisha bei ya bidha. Ila pengine ni fake promise kwani kawaida yake kudanganya wananchi.
 
Kesho sio mbali, wataoongezewa wasisahau kutupatia feedback...

Ngoja nipange list ya matumizi mapemaaaa, nijiandae na ongezeko.
 
Back
Top Bottom