Bodi ya Mikopo Elimu ya juu wametoa majina ya waliokosea kujaza fomu za kuomba mkopo na tarehe ya mwisho kufanya marekebisho ni 11/09/15. Tukiwa kama wahusika tunaomba bodi isogeze tarehe mbele...
Habari wakuu kuna tetesi kuwa NECTA wameridisha system ya zamani kwamba form six 2015 wanafanya mtihani wa taifa mwezi wa pili, je ni kweli? nimeuliza kwa sababu kuna jamaa amenipigia simu...
Wakuu naomba mnifafanulie hiki kipengele,
Kwa Mtu mwenye
"Bachelor of Arts with Education"
anaruhusiwa kusoma
"Master's of Mass Communication"
(Hasa kwa Public Universities kama vile UDSM)...
1>Nili apply mkopo wa Elimu ya juu,najaribu kuangalia kama nipo kwenye majina ya waliokosea lakini sioni taarifa yoyote,msaada jinsi ya kuangalia
2>Kuhusu application za vyuo,nili apply TCU...
wadau wa j.e naomba mnisaidie kwa experience yenu, kati ya masters ya environmental health na masters ya monitoring and evaluation ipi nzuri zaidi kwa maisha ya mbele kwa mtu aliyesomea bsc ya ualimu
Habarini wakuu.
Mimi nimepeleka barua yangu TCU jana tarehe 17/8/2015. Nilikua nauliza ma batch mengine yanachukua mda gani kutoka naogopa deadline isije ikapita nikakosa chuo.
Wakuu Habari zenu. Hiv Hawa TCU. Na HESLB wanatoa majibu Yao lini na kuangalia hayo majibu tutaangalia kwa website ipi? Afu pia kwa wale wanaotakiwa kufanya malekebisho majinaa Yao nao yanatoka...
habari zenu wana jukwaa,
niko hapa mbele yenu kutafuta classmates wangu waliomaliza mwaka 2005 darasa la saba shule zifuatazo..
1. NYANZA PRIMARY SCHOOL ( NYANZA C )
2. MWENGE PRIMARY SCHOOL...
Wapendwa nasikia kuna sponsorship za mathematics zipo hapa nchini au nje. so kama kuna mtu anaweza kutujuza habari hyo zaid atusaidie au jinsi ya kupata hzo atupe msaada.
thanx!!
Kume kuwa na tetesi kuhusu muda wa kufanya mtihani kwa kidato cha 6 mwaka 2014/2016.kuwa ni mwezi wa pili na si wa 5 kama ilivyokawaida.
Je kuna ukweli juu ya hilo? maana dogo hapa anahaha kutaka...
Senai Wolderufael Feed Green Ethiopia Exports (Ethiopia)
In 2012, Senai Wolderufael started Feed Green Ethiopia Exports Company. Now 27 years old, his company produces and exports popular...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.