Habari!
Hv walimu wote mmeshalipwa madai yenu au bado kama mimi?Karibuni tufarijiane&tuelezane.
Naomba kama huna la kusema pita kimyakimya,kauli chafu sipendi.
Kichwa cha habari husika km ww unauwezo mkubwa wa kufundisha kiingereza unahitajika au km kuna mtu unamjua hila hayupo jf nnaomba tuwasiliane mwanafunzi yupo dar es salaam,
Kwa wale Wahanga wenzangu wa Udahili wa mwaka jana ambao CAS imetuzuia kuomba upya kuna habari njema kwani TCU wameshaachia list ya kwanza Batch One ili tuanze kuomba upya. Angalizo wahanga...
Habarini.
Msaada wa ushauri, nina mdogo amechaguliwa certificate ya mifugo aliomba udhamini wa serikali akakosa akapata wa binafsi ada ni ndefu chuo ni mabuki sasa tarehe ya kuripoti ipo...
wakati huu ninaoandika npo naangalia kipindi channel 10 kinachoitwa USALAMA WETU kinachohusu usalama baeabarani. segment iliyopita inaitwa JUNIOR PATROL ambapo katika shule moja jijini mwanza...
Habari wanandugu:
Nafundisha masomo yafuatayo:
Basic Mathematics na Advanced Mathematics kwa level zote
Physics kwa level zote
Bei ni nafuu sana. Napatikana kupitia number hii 0786855280
Asante
Kwa form six ambaye hajafanya application hadi muda huu kuna voucher ya TCU nauza kwa kiasi cha shillingi Alfu Arobaini Na Tano(45,000),kwa mwenye uhitaji tuwasiliane 0763234373.Ahsante
Kwanza nashukuru sana being kwa hili jamvi
Mm nimemaliza diploma ya procurement and logistics mgt TIA ila mpk leo hii sijaweza na kuendelea kusoma kwa tatizo la ada yeyote mwenye idea amvapo...
Naomba ushauri, Nahitaji kusoma coz za afya ila nikiangalia guide book iliopo kwenye web site ya NACTE inaonesha kwa levo ya diploma lazima FORM 4 upate C za bios, chem na phy. Mimi nilimaliza...
Mimi Mwl idara ya sekondari wilaya ya missenyi mkoa Wa kagera,natafuta Mwl yeyote aliye tayari kubadilishana kutoka sehemu zifuatazo
-Moro mjini
-dar
-bagamoyo
-kibaha...
Habari ndugu zangu wa JF
Kuna utaratibu ambao nimeugundua unafanywa na watu wa tcu na nacte wakiusupport ambao kwa namna moja au nyingine ni unyanyapaaji na kuwakosesha watu wengi wa diploma kuto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.