DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Wadau salamu!
Mimi ni mwl.nikiwa na mwaka wa tatu kazini sasa, mwaka jana shule ilipata mkuu wa shule mpya na hapo akanitoa kutoka ualimu wa taaluma alionikuta nao hadi umakamu mkuu wa shule baada ya aliyekuw makamu kuteuliw kuw mkuu wa shule.
Mkuu huyu toka mwanzoni alionekan kabisa kuw na ubabe, kauli za dharau nk kwa walimu wenzangu na kwangu pia japo hakuw anatamka moja kwa moj kwangu but pia kunisema na kunikalipia mbele ya staff ilikuw kawaidaâ¦â¦â¦ story ni ndefu na vituko ni vingi hatimaye mwezi wa sita mwaka huu nikaamua kumfuata na kumuelez kuw naomb hiyo ngazi apewe mwingine nikijua huo ndo mwisho wa matatizo kumbe la hasha siku chache baadye aliandk barua (japo sikuiona lakin mazingr yalionyesh) kwend kwa DEO akisem mim ni mwl mzur katik somo langu but sistaili kupew cheo chochot mbele ya safari na pia aliend mbali zaid kwa kusema najihusish na siasa (hii ilikuw ni msumari wa kutaka kunichoma) hivyo anaomb nihamishweâ¦â¦ niliitw wilayan na kutoa maelezo ya kina ofisn walinielw san na baady wakamwitaâ¦â¦
Nilipopew majukm hayo niliombw nihame kutok mtaani nilikokuw naish kuja shule ili kuw karibu na kurahisish majukm, nikafany hivyo na nyumba niliyokuw naish nikawap walimu wageni kwan maeneo haya nyumba ni shiida. kweny nyumba ya shule nililazmk kufany ukarabt kwan ilikw na mapungf mengiâ¦â¦ sasa mkuu wa shul anataka nitoke kweny hiyo nyumb coz anatak akae mwl amtakaye but yey hili jambo hajaniface akatum walim wawil et mkuu anatak nyumba nikawaambia mim sin nyumb so siwez danganya nitatok linâ¦â¦
Leo kaniandkia barua ya kunitaka nikabidh nyumb ndani ya siku 14 na chin kawek nakala kwa DEO,MEKI, Mwenykit wa bodi.
Binafa naon nanyanysw pas na sababu kwan,
1. mim ni mwl halali kweny shul hii
2. mwajiri ndo mwenyjukum la kunihakikishia nyumb na yey yuko kwa niamba ya mwajiri.
3. Nimetumia gharama kurepair nyumb hivyo nahitaj kulipw.nk
Nahitaj ushaur kabla sijaend mbali na jambo hili.
Asanten!