Habari za mchana ndugu zangu. Mimi ni Mwalimu niliemaliza chuo mwaka 2012. Nilipangwa Kazi Rungwe na sikwenda kuripoti kabisa kituo changu cha Kazi. Nilipata matatizo ya kifamilia. Mwaka Jana nikaomba Kazi Tamisemi na sikupangwa kwenye post za mwaka huu. Je nifanyeje? Niende Tamisemi au tatizo ni nini??
Asanteni kwa ushauri
Asanteni kwa ushauri