Nafasi za Mafunzo na Ajira

Nafasi za Mafunzo na Ajira

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,921
Wakuu baada ya kuona matokeo ya F4 nimeammua kuanzisha chuo cha Sarakasi na tayari masomo yameanza tangu jana.

Tumeni maombi yenu haraka kwa njia ya PM. Ada kidogo sana ( 5,000/= kwa mwezi kama huna waweza leta vitu kama Mihogo, Mchicha, matunda nk bei equivalent na hiyo) hii ni kwa ajili ya kuwasaidia vijana wetu.

Wakimaliza watatafutiwa ajira!
 
hahahaha mzee acha masihara bana duu ada mpaka matunda kweli cheti kitapatikana hapo,jokes ndio ilikua sehem yake daa
 
Back
Top Bottom