social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,262
Mimi ni kijana miaka 21 mwaka wa kwanza chuo kikuu dodoma nachukua masomo ya sayansi ya jamii
Siku zinazidi kusonga mpaka leo hii sijapata pesa ya matumizi wakati ulimwengu mzima unajua tumeneemeka.Nime sign mkopo toka tarehe 14 mpaka leo sijaona chochote katika account yangau
Naomba kuwauliza maswali ya msingi kama ifuatavyo bila kuvunja sheria
1: kwanini hamtupi pesa wakati imeishaidhinishwa tupate???
2: kwanini mna tupa ahadi fake mnasema pesa tuna weka week ijayo ikifika hakuna pesa mnatoa ahadi nyingine hamjui kama mnatuchanganya kisaikolojia???
3:kwanini mnagawa pesa kwa watu wachache na kuleta matabaka miongoni mwetu???
Naomba mlifanyie kazi bandiko langu,sina tena msaada mzee wangu ni mtu wa makamo nikimwambia bado sijapata pesa ananigombeza sana na kusema mbona mh raisi amewapa mkopo
mpaka sasa nimebakiwa na tsh 11000 sijui hatima yangu ni nini
Jaribuni kuwa waungwana bwana najua tukijitokeza kuwakumbusha mnachukua maamuzi magumu juu yetu,nina hasira sana
mwanafunz udom