beeper
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 253
- 106
Habari wadau wa elimu,
Mimi nataka kujua kuna vigezo gani vinavyochukuliwa mtoto wa aliyemaliza darasa la saba kuchaguliwa nje ya shule za kata za sekondari? Nauliza hivyo kwasababu posti za wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani zimetoka lakini kama sizielewi vile:
Katika shule x ya jirani watoto waliopata wastani wa A ni sita na hao wote walikuwa na A TATU NA B MBILI LAKINI WASTANI NI A HAO WAMECHAGULIWA NJE YA SHULE Z KATA,WENGINE KAMA KUMI WA SHULE Y WAMEPIGA A ZOTE WAPO SHULE ZA KATA JE HAPO KIGEZO NI NINI?