Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Alumni njooni tukutake hapa.

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Niajeeee!
Binafsi mie ni wa mwaka 2012/13 pale darasa ya Economics yenyewe.Najua humu wamo wanaSAUT wengi wa darasa tofauti na miaka tofauti karibuni tujadiliane,tushirikiane na tushauriane.

Mimi nafanya shughuli binafsi Arusha za kuniingizia kipato lakini nasafiri mara kwa mara sana kwa safari za Mwanza na Dar kidogo......

Je vous en prie!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom