Kwanini ubora wa elimu unashuka kila siku?

Baryona

Member
Dec 20, 2015
21
3
Naomba kuliza kati hawa watu nne nani chanzo cha elimu kushuka Tanzania, watu hao ni mwanafunzi mwalimu Mzazi na serikali na nini suluhisho lake?
 
Hivi mnatumia vigezo gani kusema ubora wa elimu umeshuka? Nadhani ingekuwa bora zaidi kwa kuweka vigezo kwanza ndio tuanze huo mjadala.
 
Hivi mnatumia vigezo gani kusema ubora wa elimu umeshuka? Nadhani ingekuwa bora zaidi kwa kuweka vigezo kwanza ndio tuanze huo mjadala.

utasikia ufaulu umeshika sana,: wanafunzi wanamaliza elimu ya msingi hawajui kusoma wala kuandika
 
Back
Top Bottom