Kwanini walimu chuo cha ifm hawafundishi ipasavyo?

mastersajenti

Senior Member
Dec 4, 2015
165
24
Inashangaza sana kuona Uongozi Wa Chuo hauwajibiki ipasavyo kuwasimamia walimu kufundisha kama Sheria inavyotaka.Walimu hasa wale waliokuwa wanachuo wamekuwa hawaingii madarasani ila wakati Wa mitihani wanatunga wakati hawakufundisha.Tunaushangaa uongozi Wa Wanafunzi Kwa kukaa kimya Na pia Mkuu Wa Chuo Na timu yake.Tunakuomba Mh.Rais Magufuli hata Viongozi Wa Vyuo in MAJIPU.
 
Back
Top Bottom