Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Kuna ndugu yangu anahamia Mwanza na anataka kumuhamishia mtoto wake wa form two shule ya serikali jijini mwanza, anahitaji kujua shule ambayo inafikika kirahisi toka road, isiyo mlimani na yenye ufaulu mzur. Mnaolifahamu jiji la mwanza msaada please