Udom hali ni mbaya kwa vijana wa special diploma mpaka saiv wengi hawajapata boom na kila siku porojo 2 na vijana washajikatia tamaa kusoma na njaa na bila mahitaji muhimu kama vitini nk.mh RAISI...
Habari,
Hivi kuna mtu yeyote mwenye taarifa juu ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea? Na kuna chuo chochote waliopata mkopo?
Mwenye taarifa atujuze wanajamii.
Amani iwe nanyi,
Ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, mhanga wa mkopo kutokana na transfer, tunaambiwa mpaka siku 60, wakati huu ni mgumu sana kwangu. Nimewaza mengi sana ikiwemo kurudi tu kijijin...
Nimesoma degree ya Computer Science, katika kuhangaika nimepata scholarship ya kufanya Master ya Traffic and Transportation Engineering nchini China.
Je, hii kozi ina future hapa kwetu Tanzania...
Wapendwa tembeleeni profile zenu kwa wale wote ambao walichaguliwa first round kozi ya Community Health pamoja na zingine... Na kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusiana na hii hali ya NACTE...
Nashindwa kuelewa ni kwa nini madogo wa special dip ambao waliahidiwa kusaini na kupata boom lao mapema wiki iliyopita na hadi kufikia hivi sasa hakuna dalili ya kuwasaidia kwa nini? maana kuna...
The last wish
A death row inmate awaiting execution, asked as a last wish a pencil and paper. After writing for several minutes, the convict called the prison guard and asked that this letter...
Nimemaliza high school 2006, PCM, nilipata S kwenye Advanced Maths, Fail kwenye Physics, E Chemistry, kwa matokeo hayo nilikuwa na principle1 tu, nataka kuingia degree ninaweza kujoin kwa points hizo?
Jamani,
Hili shirika ni LA serikali ipi? Mnakusanya fedha za wateja ukifika muda wa kuwalipa hamuwalipi, tuwaeleweje? Jamani mtumbua majipu hajaliona hili jipu, mbona limeiva si alitumbue...
Nimehitimu chuo mwaka 2013,bodi ya mikopo ilinikopesha tangu naanza mwaka wa kwanza mpaka mwisho,baada ya kufanya kazi kidogo,nafikiria kwenda masomoni kusomea degree nyingine,(sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.