Shahada za heshima

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,776
23,041
Wakuu,ni kigezo gani hutumika kutoa shahada za heshima kwa mtu?.Kwa nini isiwe hivyo pia kwa ngazi za kati na chini za elimu(cheti cha heshima)?
 
Mara nying inategemea na rising paformansi au ulivyo maintain hatua ya chuo kama anniversary mf udsm wamekula honours wote this year
 
Back
Top Bottom