Hivi hizi n tetesi ama kweli

LINCO

Member
Dec 16, 2015
34
13
hivi ichi kitu ni kweli? A:75_100%,B:65_74%,C:55_64%,D:45_54%,E:35_44%,S:25_34%,F:0_24%.
 
Mbona haueleweki au unazungumzia matokeo ya form 4?
 
Last edited:
Wakitumia mpango huo utacheki zero zitakavyokuwa za kutosha. Ila itasaidia sana wanafunzi kuwa makini na masomo darasani kulikoni ilivyo leo ambapo wanafunzi hawapo makini sana. Ila F inaanzia ngapi?
 
Kama ni kweli itakuwa jambo la busara sana,maana elimu yetu ilikuwa inaelekea jalalani,labda kwa kupunguza size ya magoli nadhani wafungaji watakuwa makini,
 
wanyoa viduku...tetetteee...kweli aseee eti gpa..mtu umehustle chuo unaibuka na gpa ya 2 o level anayo ya 4 du kuzalauliana huku hakufai..rudisha grade zetu.....
 
Dogo mwongo,Prf.Ndalichako hakurupuki hivyo,kuweni wapole,ataleta kitu kizuri sana tena kilichofanyiwa utafiti,siyo matamko tu
 
Kama kweli wale wavivu wa kusoma wa suruali fupi lazima waandamane Dr Ndalichako ang'oke
 
Back
Top Bottom