Mhh zimetoka kweli hizo mkuu?Ulituaidi kuwa utatoa laptop kwa wanafunzi Wa vyuo wanaosoma masomo ya sayansi ila uongozi Wa udom wanataka wazifanyie fursa hizo pesa ,:> hil pia ni jipu na limeiva kwani hadi Leo ni kimya
Ahadi ni deni,asingeahidi na kuzitoa hakuna ambaye angeziomba hizo! Kama zimetolewa basi wapewe sio wafaidi wasiohusikaHadi wanachuo kikuu nanyi mnahitaji kupewa LAPTOP za BURE...
ahadi gani ni deni......mnanisikitisha mwanachuo unashindwa kujinunulia PC.Ahadi ni deni,asingeahidi na kuzitoa hakuna ambaye angeziomba hizo! Kama zimetolewa basi wapewe sio wafaidi wasiohusika
Kununua wanaweza,sema wameahidiwa na zimetolewa kwa hiyo ni haki yao! Haki yako ni yako tu hata kama unaweza kuitafuta mwenyeweahadi gani ni deni......mnanisikitisha mwanachuo unashindwa kujinunulia PC.
Yah. laptop zipo coz Leo tumeandika taarifa zetu ikiwamo namba za usajili na majina ...So tuna zisubiria hizo pesa kwa hamuhivi una uhakika hizo laptops zimetolewa?