MWALIMU

habdul64

Senior Member
Dec 24, 2014
153
67
Naomba serikali imtazame mwalimu kwa zaidi ya jicho la tatu kwa sababu zifuatazo..
-Hivi wajua kuwa mwalimu anaongoza kwa kukopwa na wanajamii wanaomzunguka ingawa mshahara wake ni mdogo¿
- Kama haitoshi wanajamii wengi vijijini hali ni duni mwalimu husaidia wanafunzi km vile kununua unuform, chakula, na mengineyo...
Waalimu wanaokutwa na haya watakua mashahidi.
- wito serikali izingatie waalimu wanapoomba maslahi lakini pia iwakumbuke wanaodai madai yao!
 
ni kweli na hii iko nchi zinazoendelea ambazo hukumbatia rushwa,ufisadi na ufujaji wa rasilimali usio nufaisha jamii
 
Back
Top Bottom