Jipu la Udom limeiva

TheDek

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
457
428
Katika chuo kikuu cha udom kumekuwa na matatzo kadhaa ambayo kwa mugbu wa muheshimiwa magufuli ni majibu yaliyoiva kabsa na yanatosha kutumbuliwa

-swala la kucheleweshwa kwa hela ya meals and accomodation chanzo cha tatzo nadhan kinafahamika kabsa JIPu no 1.

-Magbu mabovu ya waadhili na wafanyakazi wa chuo kikuu hcho tajwa JIPU NO 2.

-Miundombinu isyo rafk,maji,cafe na vyoo na mabafu JIPU NO 3.

Mh magufuli huo ni muhtasal tu
Khabar kamili utaipata ikifanya kale ka utaratbu kako ka kutokea ka mzimu.
 
ma bursar wa schss ni majipu makubwa haya uongoz wa chuo hebu tumbueni hudumu wanazotoa ni mbovu hasa kwenye usajir kuna idadi kubwa ya wanafunz wanakata tamaa na usajir kutokana kauli zao za matuc
 
Hahahah hivi ile cafe ya Alfa imefunguliwa ukiwa humanity kupiga simu mpaka utafute block za juu kabisa mana chini ni shida vile vyoo navyo daaah havipeleki uchafu ukishusha vitu vinabaki Hapo Hapo juu ndo mana tulikuta mtu kajisaidia bafuni vyoo ni vichafu hatari
 
Waziri wa info naye pumba tupu mkuu tangu tar 29 mwezi uliopita mpaka leo hii hakuna chakula CIVE
 
Vipi wale wajasi wa kule chini(mama wa miwani,mtumishi,kwa mrangi) bado wapo??

Viongozi wa Udoso hamna kitu kabisa...cjui mliwapaje uongozi watu wa kishamba kama hao kazi kuhamasisha migomo tu badala ya kushughulikia matatizo kwanza.
 
Viongozi wa Udoso hamna kitu kabisa...cjui mliwapaje uongozi watu wa kishamba kama hao kazi kuhamasisha migomo tu badala ya kushughulikia matatizo kwanza.


Rais wa coed alpinduliwa kabla ya uchaguzi kwa sababu za kula pesa , na nyie kama vipi wapindueni tu mana Hamna namna
 
Vipi wale wajasi wa kule chini(mama wa miwani,mtumishi,kwa mrangi) bado wapo??

Kule kama kawa mkuu ndiko tukojidai ila mama miwania hayupo wengne wote kama kawaida,,ila uongozi unazingua kinoma!!!!
 
Vipi na ile Barbara ya kwenda ujasi imeboreshwa? Mana ilkuwa ni ahadi ya uongozi unaoongozwa na Issa
 
iyo kesi ua management ya chuo na sio serekali, inawezekana serekali yako ya wanafunzi haiko vizuri kwenye kushuhulikia mambo yake
 
Back
Top Bottom