kuna mwanafunzi alichaguliwa chuo kipo Dar es salaam kupitia nacte na mkopo alipata, baadae alifanya transfer kwenda chuo kingnine mkoani na akajisajiri na kuanza kusoma.
Boom lake bado halijafika mpaka sasa japokuwa ameshamaliza taratibu zote za kuliamisha.
Kwa bahati mbaya mlezi wake amepatwa na matatizo ya kudumu hivi karibuni anaitaji kuwa nae karibu awe anamsaidia ukizingatia yeye ndio mtoto wa kwanza,
Hivyo basi anaomba kujua njia ya kuacha chuo ili mwakani aombe tena chuo upya cha dar es salaam na sio kupospone ili awe karibu na mlezi wake angalau awe anamsaidia maana kule hawezi kusoma amekuwa mtu wa mawazo yuko mbali.
Anaomba mwongozo anayefahau utaratibu
natangulisha shukrani