VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
NIMEJIULIZA MASWALI YAFUATAYO;_
(1) NI KWANINI WAKUU WA SHULE MITAHAL HII WANAIFICHA SANA NA HAWATAKI WAWAONESHE WALIMU??
(2)MTAHALA NI MZURI NA UNAMAMBO MENGI SANA AMBAYO KWAKWELI YANGEKUWA YANAFUATWA WALAU KWA ASILIMIA 20 TU KWAKWELI TANZANIA INGEWA MBALI SANA KIELIMU
(3) MTAALA PIA UNASEMA KUWA MWANAFUNZI WA FORM ONE NA FOFRM TWO WATACHAGUA KUSOMA YA PHYSICS & CHEMISTRY AU BOOKEPING NA COMMERCE...MEANWHILE SOMO LA RELIGION NI LALAZIMA NA KUFANYA MASOMO KUMI TU!!! JIULIZE NI SHULE GANI YA SERIKALI INAFANYA HAYO?? HIVI INAINGIA AKILINI KICHWA KIMOJA KINASOMA MASOMO KUMI NA MOJA???? WAKATI MTAALA UNASSEMA MWANAFUNZI ANAWEZA JICHAGULIA MASOMO AKIWA FORM ONE!!!!
(nimecopy hiii
Subjects to be Taught from Form I to Form IV
Form one and Form two students shall study ten (10) subjects as shown in table 5.1. These shall include 7 core subjects, two elective subjects and religion as a compulsory subject. The core subjects shall be mathematics, English, Kiswahili, Biology, Civics, Geography and History. Elective subjects shall be Physics, Chemistry, or Book keeping and Commerce, or Needle work and Cookery or Technical subjects. In addition the student shall be required to take one optional subject as shown in table 5.2.
HALAFU NASHANNGAA SANA NI KWANINI SHULE NYINGI HUWA WANAWALAZIMISHA WANAFUNZI WACHAGUE MASOMO WAKIWA KIDATO CHA TATU?? ILIHALI MTAALA UNASEMA MWANAFUNZI ACHAGUE MASOMO AKIWA KIDATO CHA KWANZA????
AISEEE NILIKUWA SIJUI KABISA LAKINI BAADA YA KUUSOMA MTAALA WA ELIMU YA SEKONDARY NDIPO NIMEJUA MENGI SANA.... KUMBE SOMO LA RELIGION NI LAZIMA!!!!!!
LAKINI PIA MTAALA UNASEMA MUDA WA MASOMO SHULENI HUSUSANI SEKONDARY NI MUDA WA MASAA MATANO NA DAKIKA 20 TU!!! AU 5:20 HOURS JE SHULE NA WAKUU WA SHULE WANAFANYA KAMA MTAALA UNAVYOSEMA???
HALAFU KWA NINI WAKUU WA SHULE WANAIFICHA SANA HII MITAALA??????
KARIBUNI KWA MADA WADAU ..KAMA UNAYO YA KUSEMA KARIBU SANA...........................................

Last edited: