kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Wadau,
Naomba kujuzwa nimehamia dar hivi karibuni sasa imenipasa kuhamisha watoto shule .ninaomba wazazi wenzangu na wanau wa elimu mnijulishe shule nzuri kwa watoto (English medium)ambazo asana gharama zake sio ghali namaanisha sio zaidi ya milioni moja kwa Mwaka ada pekee. Naishi kimara-Kibo maeneo ya karibu itakuwa vizuri zaidi.