Msaada wa haraka

Habari zenu wana JF,
Kama heading inavyosema
nahitaji msaada,
natafuta shule ya Bweni kwaajili ya kurisiti mtihani na nahitaji kuamia form three mpaka four, Au hata kwa QT.

Kwa yeyote anayejua shule ambayo itakuwa na Ada kati ya Laki 6 mpaka 7.

Haijalishi shule ipo mahali gani.
Naomba mwenye ujuzi Anisaidie tafadhali.
Mimi ni Mvulana.
NAWASILISHA.

kijana hujaweka wazi unataka kurudia kidato gani. ila kama ni kidato cha nne kuna chuo cha ualimu Chalinze kiko pale chalinze kinapokea wanaorudia mitihani ya form four bweni. ila ada yao ni zaidi ya milioni. huwezi pata shule ya bweni ya laki saba halafu bweni gharama za chakula tu kwa mwaka ni kubwa
 
Shukrani mkuu.

lakini mimi ninahitaji kureset mtihani wa form four alafu kituo kiwe kama tuition
 
Back
Top Bottom