John Dengu
Senior Member
- Jun 19, 2015
- 108
- 20
Uhamisho
Unakua na copy mbili, zinasainiwa zote then unapewa moja, moja inatumwa kwa katibu tawala kiofisi (halmashauri ndo inapeleka) copy nyingine unaweza kuipeleka mwenyewe ili kuwa na uhakika barua imefika, na imefika kwa wakati in case ile ya ofisini ikiwa imechelewaShukrani sana madam kwa maelezo yako yaliyotukuka........hvi hapo uliposema barua unaipitisha kwa hao watu wote mwisho unaiacha kwa katibu tawala wako, je ni kwamba hao watu unawapatia kopi kila mmoja na original ndo unampa katibu tawala au inakuwaje mkuu
Unaandika barua kuomba nafasi huko unakotaka kwenda
Mkurugenzi wa huko
Kk, Afisa elimu wa huko
Kk, mkurugenzi wako
Kk, Afisa elimu wako
Kk, mkuu wako wa shule
Huko unakotaka kwenda watakujibu kwa barua kuwa nafasi ipo
Hivo unaandika barua tena kuomba kuhama sasa unaambatanisha na hiyo barua ya kupata nafasi
Unaadress kwa
Katibu mkuu tamisemi
Kk, katibu tawala wa mkoa wako
Kk mkurugenzi wako
Kk Afisa elimu wako
Barua ikipitishwa kote unaenda kuiacha kwa katibu tawala ye ndo atazipeleka tamisemi then unangoja sasa kibali cha kuhama
Nb: kama unataka kuhama December deadline ya barua kufika tamisemi ni Dec 15, kama unataka kuhama June deadline ya barua ni may 30
Uhamisho
Unaandika barua kuomba nafasi huko unakotaka kwenda
Mkurugenzi wa huko
Kk, Afisa elimu wa huko
Kk, mkurugenzi wako
Kk, Afisa elimu wako
Kk, mkuu wako wa shule
Huko unakotaka kwenda watakujibu kwa barua kuwa nafasi ipo
Hivo unaandika barua tena kuomba kuhama sasa unaambatanisha na hiyo barua ya kupata nafasi
Unaadress kwa
Katibu mkuu tamisemi
Kk, katibu tawala wa mkoa wako
Kk mkurugenzi wako
Kk Afisa elimu wako
Barua ikipitishwa kote unaenda kuiacha kwa katibu tawala ye ndo atazipeleka tamisemi then unangoja sasa kibali cha kuhama
Nb: kama unataka kuhama December deadline ya barua kufika tamisemi ni Dec 15, kama unataka kuhama June deadline ya barua ni may 30
Uwe na barua ya ajira (ina tsd number) barua ya kuthibitishwa hivo ndio vya muhimuNaomba Maelekezo kama kuthibitishwa kazini ni miongoni mwa masharti ya kuomba uhamisho toka halmashauri moja kwenda nyingine? Masharti mengine ni yapi?
Inapitishwa na wote uliwaandika mkuu wa shule, Afisa elimu, mkurugenzi na afisa elimu wa huko na mkurugenzi wa hukoMimi nauliza barua ya huko nakotaka kwenda NAyO napitisha kwenye halimashauri yangu ndo niitume nakotafuta nafasi?
Naomba Maelekezo kama kuthibitishwa kazini ni miongoni mwa masharti ya kuomba uhamisho toka halmashauri moja kwenda nyingine? Masharti mengine ni yapi?
Hongera kwa maelezo mazuri. Nina family friend brother, yeye akiajiriwa kama mwalimu na akajiendeleza mpaka PhD Level ila si kwa fani ya ualimu(biashara). sasa ndio amerudi,ameripoti back kwa mwajiri wake na anataka kuomba uhamisho kwenda kufundisha kwenye public universities. Je utaratibu ni huo huo ulioutaja au kuna nyogeza mana daah that bro anazinguliwa kweli kweli ....yeye hayupo tayari kurudi kushika chaki sekondari ila huko halmashauri wanamzingua wanataka arudi kituoni kwake. mizinguo ikizidi amenambia hatafikiria mara mbili ataacha kazi mazima mana amejisomesha kwa taabu sanaEeh nimetoa maelekezo ya idara ya elimu sijui we ni kada gani ila process ni hizo hizo
Utaratibu wa kuhama ndio huo, ila yeye mbona kama ahami anaacha kazi? Make akifata utaratibu huo means anahamia kituo kingine ila yeye anabadili kazi sijui process za yeye kufataHongera kwa maelezo mazuri. Nina family friend brother, yeye akiajiriwa kama mwalimu na akajiendeleza mpaka PhD Level ila
si kwa fani ya ualimu(biashara). sasa ndio amerudi,ameripoti back kwa mwajiri wake na anataka kuomba uhamisho kwenda kufundisha kwenye public universities. Je utaratibu ni huo huo ulioutaja au kuna nyogeza mana daah that bro anazinguliwa kweli kweli ....yeye hayupo tayari kurudi kushika chaki sekondari ila huko halmashauri wanamzingua wanataka arudi kituoni kwake. mizinguo ikizidi amenambia hatafikiria mara mbili ataacha kazi mazima mana amejisomesha kwa taabu sana
Uwe na barua ya ajira (ina tsd number) barua ya kuthibitishwa hivo ndio vya muhimu
Japo unaweza Pata zari ukahama bila barua ya kuthibitishwa ila uwe na barua ya ajira
inategemea halmashaur yako...manake huku kwetu haina haja ya barua ya uthbitsho wao wanataka
-salary slip
-kitambulsho cha kaz
-kibal cha kule ulkokubaliwa kwenda
nb vyote ivyo ni kop