Msaada, natafuta shule ya boarding ya A level

Katamya

Member
Dec 1, 2015
68
34
Wana JF naomba msaada wenu, namtaftia mwanangu shule ya bweni inayotoa elimu ya A level ila napenda iwe ya kiislam ambayo inafanya vizuri kwenye matokeo ya form six, iwe mkoa wowote ule nipo tayari kumpeleka. Kwa yeyote ambae anafaham hizo shule ushauri please
 
Tanzania hamna shule ya kiislamu inayofanyaga vizuri kwenye matokeo iwe o level or a level
 
Wana JF naomba msaada wenu, namtaftia mwanangu shule ya bweni inayotoa elimu ya A level ila napenda iwe ya kiislam ambayo inafanya vizuri kwenye matokeo ya form six, iwe mkoa wowote ule nipo tayari kumpeleka. Kwa yeyote ambae anafaham hizo shule ushauri please
Ya kiislamu, what do you mean? acha udini, after all hakuna shule ya kiislamu inayofanya vizuri. May be kama ni islamic knowledge, that you can get one but not other subjects.
Nakushauri usiwe siasa kali, mpeleke mtoto popote apate elimu. Hakuna atakayemsilimisha dini. Get rest assured he or she will remain a moselem in christian schools
 
Wana JF naomba msaada wenu, namtaftia mwanangu shule ya bweni inayotoa elimu ya A level ila napenda iwe ya kiislam ambayo inafanya vizuri kwenye matokeo ya form six, iwe mkoa wowote ule nipo tayari kumpeleka. Kwa yeyote ambae anafaham hizo shule ushauri please
Achana na hao wajinga wajinga njoo ubungo Islamic IPO vizuri kuna mtambani zote zipo vizuri hautajuta mkuu
 
Nenda shamsiye ila ni boys tu, kwenye shule zenye idadi ya wanafunzi chini ya 40 ni ya kwanza
 
Back
Top Bottom