kakhulu JF-Expert Member Sep 30, 2015 784 1,069 Feb 18, 2016 #1 Habari wana JF mnaonaje matokeo yalivyo kwa mwaka huu?kwa O level sio A level
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,731 Feb 19, 2016 #2 Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.