D DISGUISE16 JF-Expert Member Dec 28, 2015 372 259 Feb 17, 2016 #2 Bora NECTA mlivoleta huu ufafanuzi kupunguza tetesi zilizo maana japo sijaona saini ktk hiyo barua
Zooluline JF-Expert Member Oct 15, 2012 206 102 Feb 17, 2016 #4 Serikali itulipe pesa za usimamizi ndio itangaze matokeo...
Mwalupale JF-Expert Member Apr 29, 2012 1,049 674 Feb 17, 2016 #5 Zooluline said: Serikali itulipe pesa za usimamizi ndio itangaze matokeo... Click to expand... Kumbe hamkulipwa. Poleni
Zooluline said: Serikali itulipe pesa za usimamizi ndio itangaze matokeo... Click to expand... Kumbe hamkulipwa. Poleni
ivunya JF-Expert Member Sep 18, 2015 2,290 2,219 Feb 18, 2016 #6 lisemalo ujuwe ripo. mchakato wa matokeo bado kukamilika watu wasubirie Siku zinaenda kwa nn wanafunzi wasiamini hiyo taarifa iliyosambaa.
lisemalo ujuwe ripo. mchakato wa matokeo bado kukamilika watu wasubirie Siku zinaenda kwa nn wanafunzi wasiamini hiyo taarifa iliyosambaa.
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Feb 18, 2016 #7 ivunya said: lisemalo ujuwe ripo. mchakato wa matokeo bado kukamilika watu wasubirie Siku zinaenda kwa nn wanafunzi wasiamini hiyo taarifa iliyosambaa. Click to expand... Mkuu mbona matokeo yametangazwa tayari? http://www.necta.go.tz/view_news?id=104
ivunya said: lisemalo ujuwe ripo. mchakato wa matokeo bado kukamilika watu wasubirie Siku zinaenda kwa nn wanafunzi wasiamini hiyo taarifa iliyosambaa. Click to expand... Mkuu mbona matokeo yametangazwa tayari? http://www.necta.go.tz/view_news?id=104