Ushauri wenu wana jamvi

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
269
94
Hivi inakuwaje pale vijana wanapotokea walilipa pesa ya mtihani kwa wakati lkn cha kushangaza matokeo yao wamewekewa *E* ?

Kuna vijana kama 10 shule moja (LUGUNGA SEC) wamepatwa na tatizo hilo. Sasa sijui nani wa kumfuata mkuu wa shule au wafunge safar mpaba Necta wakaeleze tatizo lao?
 
Wamuone mkuu wa shule kwanza kujua tatizo ni nini kwani hata necta wana kipindi cha fain unapochelewa kulipa..hivyo wamuone mkuu wa shule kwanza
 
Back
Top Bottom