Dago langu anataka asome CBG
Chemistry ana C
Biology ana C
Geography ana C
Ila basic math ana F
Kwa shule za government ataweza kuchaguliwa kusomea hiyo comb? Na je asipo chaguliwa hiyo comb anaweza fanyaje ili asome CBG?
Ya anaweza changuliwa kama yeye alijaza ktk form yake ya kutaja comb mapendekezo yake yatafatiliwa hususani kama aliweka namba 1 hiyo comb kama sivyo hivyo ataweza kubadili huku atakapo chaguliwa lakini kuna vigezo na masharti huzingatiwa asikate tamaa kama no hivyoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.