The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Chama cha walimu ni chama kama vyama vingine vya wafanyakazi(trade union) ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya walimu ambao ndio wanachama ambao huchangia kwa kukwatwa toka kwenye mishahara.lakini matokeo yake hiki chama kimeshindwa kabisa kutetea maslahi ya walimu ambayo yako duni kuliko wafanyakazi wengine wa serikali.
changamoto za walimu ni nyingi sana mishahara midogo.mazingira mabovu ya Kazi.madai mengi.n.k.na changamoto ni za mda mrefu lakini mpaka leo hakuna changamoto kubwa ambayo cwt wamefanikiwa kutatua.kimsingi wanachama wengi hawafurahishwi na utendaji wa cwt.serikali iingilie kati utendaji wa chama hiki na kufumua katiba ya cwt ambayo ni mbovu.Leo hii wanahangaika kufungua benki ambayo mwalimu hana manufaa yeyeto nayo badala ya kushughulikia changamoto za walimu ambazo za mda mrefu.pia inatakiwa mkaguzi wa hesabu za serikali akague hesabu katika chama hiki ambacho kinakusanya mapato mengi sana toka kwa walimu wote nchi nzima kila mwezi mabilioni ya pesa lakini matumizi yake hayaeleweki.mwanachama akistafu anaishia kupewa bati bando moja bila kujali ana Kiwanja au hana?