Utumishi watangaza Nafasi za Udhamini wa Masomo za KOICA

Wanavyosema Public Sector manake ni nini? Je Private sector awarusiwi kuapply?. Je tangu wafanyakazi wa Public Sector waende kusoma zimeleta tija gani kwa taifa?. Je serikali yetu bado aielewi maana yaPublic Private Partnership na kwamba hata ukitraining wafanyakazi wa private sector unaongeza tija kwa taifa ?. Wanawatrain watumishi wa umma lakini hao hao ndio wamelack ethics ndio maana majipu mengi yanatumbuliwa kwenye Public Sector.
 
Kwa hiyo serikali igharamie kuwasomesha masters watumishi wa vodacom, airtel, tigo, buzwagi, GGM, stanbic bank, azam etc!! Au vipi?
 
mi nimeshaaply mara nyingi hizo scholarships sijawahi pata hata feedback ya nini kinaendelea....mara nyingi wanajipa nafasi wao wenyewe hao utumishi.....
Usichoke kuapply ndugu, sasa nafasi 10 kwa mfano, unategemea watu 500 walioapply watapata wote?
 
Kwa hiyo serikali igharamie kuwasomesha masters watumishi wa vodacom, airtel, tigo, buzwagi, GGM, stanbic bank, azam etc!! Au vipi?
Hizo scholarship zinatolewa na nchi husika mfano hizi za koica zinatolewa na Korea kusini na siyo serikali ya tz
 
mi nimeshaaply mara nyingi hizo scholarships sijawahi pata hata feedback ya nini kinaendelea....mara nyingi wanajipa nafasi wao wenyewe hao utumishi.....
Mkuu scholarship zipo nyingi sana zinazotolewa na mashirika na nchi mbalimbali ambazo hazipitii utumishi, sidhani kama ushawahi kuapply na ukawa na vigezo then uzikose, zingine hizi hapa apply mkuu utapata
BG Scholarships | British Council
New Zealand Government Scholarships for Developing Countries 2016/17 - EnergyTanzania
Chevening in Tanzania | Chevening

Nashauri pia tuwe wepesi kuzitafuta kama kweli tuna nia ya kutaka kusoma
 
mkuu nashukuru ila kama hiyo bg unakuta wanatoa nafasi moja tu....sasa hapo wanakua na milolongo mingi sana.....
 
Mkuu BG huwa wanachukua watanzania 10 kwenda UK na wengine kama 10 hivi wanasoma vyuo vya hapa nchini, hili nina uhakika nalo sio nafasi moja.
Hizi ni za UK zile za nchini bado hawajatoa
 
nitafuatilia elimu ni mhimu sana kwa binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom