Chama cha Walimu Tanzania(CWT) na Serikali ni Majipu yanayokwamisha maendeleo ya elimu Tanzania

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Cwt ni kikundi cha watu wachache kinachopiga hela kupitia kivuli cha shida za walimu,ni chama ambacho kmeshindwa kuishawishi serikali kutatua shida za walimu miaka nenda rudi;shida hizi ndio zinazoua morali ya walimu katika kutekeleza majukum yao ya kila siku;
Serikali nayo kwa kutotimiza kwa wakati mahitaj mf:kupandisha vyeo walim,kulipa walau mishahara inayoendana na maisha ya sasa na stahiki zngnea za walimu inakua jipu coz msingi mkubwa wa kazi ya ualimu ni mwalimu afundishe kwa ari na kichwa cha mwl huyu kisiwe na foleni ya mawazo na manung'uniko juu ya kutotendewa haki na mwajir wake ambae ni serikali,serikali bila kutatua changamoto hz shule zake zitakua ni banda la kufugia panya road wa baadae..
 
Back
Top Bottom