Ndugu Admin,
Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.
Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA...
Tupo kwenye zama huru twapaswa kuhakiki je na uko ugaibuni au hapa ndani kupitia shule za kimataifa watoto huambiwa kua duniani binadamu wakwanza alikua nyani,sokwe tena kutoka TANZANIA?
Wakuu salama?
Labda nianze na mimi
Mimi ningependa kuwepo kwa Kozi ya Usimamizi wa Maudhui na Haki Miliki za Mtandaoni (Content Monetization & Creative Rights)
Bongo waundaji maudhui (Creators)...
Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika...
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea.
1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa...
Naomba kuuliza jmn. Utaratibu wa jambo hili ukoje hasa ktk mda wa kukaa kazin. Mf kwa mwalimu mwenye kwaka mmoja kazini anaruhusiwa kubadilishana baada ya kuthibitishwa kazin?
Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na...
Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili...
Walimu katika Halmashauri Ya Morogoro DC.Intake ya mwezi wa 2/2026 hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa.Tumeandikishwa barua na kila tukifatilia hatupati majibu sahihi ya pesa hizo
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na...
Habarini wakuu
kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?
maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu...
Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health...
Kuna jambo ambalo linaendelea hapa kwenye Shule ya Msingi Bunge iliyopo Kata ya Kivukoni, Mtaa wa Shaaban Robert, ndani ya Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam, Wanafunzi zaidi ya 30 wa Darasa nne...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti...
Nina vijana wangu sita wanaosoma katika Chuo cha Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wameathirika baada ya kufutiwa matokeo yao na kuambiwa kuwa walighushi matokeo.
Kwa maelezo tuliyoyapata, si watoto...
Wakuu natamani kuanza kusoma coarse ya umeme wa magari through online,kwa hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu waliowahi kujifunzia mtandaoni ni changamoto Gani mmewahi kutana nayo na vipi...
Kijana wangu ana ufaulu wa div 3. Ufaulu wa masomo yake ni History B na Geography C.
Masomo yote yaliyo baki ni D. Je anaweza jiendeleza kama private candidate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.