Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics. Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati...
3 Reactions
19 Replies
996 Views
Tumemaliza toka mwezi wa 6 mwanzoni mbaka leo atujapata vyeti na kila kutiwatafuta wanasema baada ya wiki mbili hata ukienda pale veta kipawa majibu ayo ayo tunashindwa kufanya vitu vyengine...
1 Reactions
3 Replies
57 Views
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo. Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali...
83 Reactions
1K Replies
177K Views
Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi...
1 Reactions
11 Replies
163 Views
Ndugu wanajamhuri ya Jf nini litoto langu pale nyumbani. Nililisomesha mipango dodoma akasoma coarse ya urban planing .. sasa najiuliza ataajiliwa kama nani maaana hata sielewi naomben msaada...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Anonymous
Mbeya Mjini wanafunzi wa Sekondari wanasoma mpaka saa nne usiku, fikiria mtoto anatoka nyumbani Saa 12 Asubuhi anarudi Saa 4 Usiku, ni masomo gani hayo, na vipi kuhusu usalama wa watoto? Jambo...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Anonymous
Private Media za Arusha (radio za Arusha) mfano mzuri ni SUNRISE ARUSHA FM na radio zingine wanatoza wanafunzi wa field Sh 50,000 up to 70,000 sasa sijui kama ni utaratibu umewekwa au wakina nani...
3 Reactions
8 Replies
172 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Makurunge kilichopo Kata ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, kero yangu ni uendeshaji mbaya wa Shule ya Sekondari Makurunge. Shule inaendeshwa kikatili sana...
0 Reactions
10 Replies
304 Views
Anonymous
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela...
1 Reactions
4 Replies
53 Views
Habari za muda huu wanajamii, Ninaomba ushauri katika jambo hili. Nahitaji kufanya maombi ya chuo ngazi ya diploma, ila nina changamoto ya majina katika vyeti vyangu. 1. Cheti cha elimu ya...
0 Reactions
2 Replies
78 Views
Anonymous
Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School. Msichana huyo jina nalihifadhi...
0 Reactions
3 Replies
131 Views
Wakuu salam za hap jukwaani. Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm...
2 Reactions
13 Replies
728 Views
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa...
4 Reactions
11 Replies
342 Views
Kuna suala la wahitimu wa mwaka 2024 katika Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza ambao hadi leo hawajapata vyeti vyao. Kila tunapofika chuoni kuulizia, tunaambiwa bado vipo kwenye mchakato. Tangu mwaka...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Anonymous
Shule ya Longido Secondary iliyopo mkoani Arusha Wilaya ya Longindo imekuwa mateso kwa wazazi na wanafunzi, wana michango mingi pembeni kila mfano Kidato cha Tatu kila mwanafunzi anatozwa Tsh...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Vitabu vya dini ni mkusanyiko wa maandiko ya kale kuhusiana na eneo hilo maalumu na maisha ya viumbe wa awali halali wa eneo hilo. Maandiko hayo ya kale yalieleza wazi na hatua za moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
49 Views
Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
Tamaduni nyingi zenye hazina za thamani za kale zaidi zina elimu zake zenyewe. Lakini tamaduni za eneo flani katika sayari kiumbe dunia zinaonekana za kushangaza sana kuliko maeneo mengine. Basi...
2 Reactions
5 Replies
62 Views
Back
Top Bottom