Utaratibu wa kuhama chuo ukoje?

Utaratibu wa kuhama chuo ukoje?

BK94

Member
Joined
Jun 3, 2026
Posts
44
Reaction score
110
Wakuu, nina mdogo wangu anataka kahama chuo kutoka kampala university kwenda muhimbili(MUHAS),Kozi ya udaktari mwaka wa tatu.Taratibu zikoje
 
Wakuu, nina mdogo wangu anataka kahama chuo kutoka kampala university kwenda muhimbili(MUHAS),Kozi ya udaktari mwaka wa tatu.Taratibu zikoje
Ni ngumu sana

Ushauri aende St Francis au CuHAS

KUPATA tu nafasj kampala ni ishara tosha pale MUHAS hapamfahi
 
Back
Top Bottom