Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili...
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, nilihudhuria maonesho ya 88 kitaifa Dodoma, japo maonesho hayo yalishirikisha taasisi mbalimbali, kwa upande wangu, Banda la VETA ndio lilikuwa funga kazi...
1961- 1967
Mtaala baada ya uhuru wa Tanzania. Hapa ulikua ni kutoa mifumo ya kikoloni na kuwekeza katika historia, utamaduni na Kiswahili kwa Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla.
1967 -1987...
Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26
Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora...
Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo...
Masters of education in assessment and evaluation.
Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri...
Kama umemaliza Form Six mwaka huu na combination yako ilikuwa CBG, tafadhali usipite kwenye caption hii bila kuisoma.
Miaka ya nyuma, CBG ilikuwa moja ya combination zilizokuwa zinapendwa sana...
Wakuu samahani msaada, mwenye uelewa kuhusu hii course ya MEDICAL PHYSICS.. kwasasa naiona inatolewa UDSM kwa level ya master
Hivi mtu ukisoma master unaweza tambulika na serikali hii bila kua na...
Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za...
Habari viongozi na poleni na uchovu wa kazi, kama kichwa hapo juu kinavyosema kwahiyo ningependa kujua viongozi kati ya ATC na MUST ni wapi life yake ni cheap kuliko mwenzie?
Dodoma, Kata ya Makulu wanachuo wananyanyasika kwa kuombwa pesa ili kuweza kupata fomu ya NaPA kwa ajili ya ku-appy vyuo, kwanini iwe hivyo?
Ofisini kwa Mtendaji wanakwambia acha namba tutakuja...
Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza
Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti
Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni ...
Hello wanajukwaa. Naombeni ushauri wenu kulingana na uzoefu wenu wataalamu.
Nina mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne mwaka jana, amepangiwa Kozi ya ICT chuo Cha Taifa Cha usafirshaji.
Mimi...
Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya...
Wakuu salama,
Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia...
Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali.
Tulienda...
General study E, history C, geography B, english C. Naomba mnisaidie ushauri ni kozi gani bora na chuo gani bora cha mimi kwenda kusoma. Na ufaulu wangu wa o level ni mathematics C.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.