Waliosoma Ndanda Secondary school miaka ya 1972-1975

Waliosoma Ndanda Secondary school miaka ya 1972-1975

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,819
Reaction score
100,987
Kama kuna mtu alisoma Ndanda sekondari miaka ya 1972-1975/6 naomba anicontact PM tukumbukane tafadhali
 
Sina uhakika kama ni huo mwaka ila huyo mzee alitokea singida kinampanda kwa sasa anaishi lindi kama mstaafu alikuwa bwana kilimo..samweli shani
 
Huo umri ni wa watoa laana,ajabu mtu anataja jina moja la amtafutaye!😀.

Shule nzima iwe na Gab mmoja 1972-1975?
 
Bila shaka kwa hio miaka kuna wadau wachache humu walisoma sekondari miaka hio...
 
Back
Top Bottom