Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
Nina vijana wangu sita wanaosoma katika Chuo cha Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wameathirika baada ya kufutiwa matokeo yao na kuambiwa kuwa walighushi matokeo. Kwa maelezo tuliyoyapata, si watoto...
1 Reactions
8 Replies
175 Views
Wakuu natamani kuanza kusoma coarse ya umeme wa magari through online,kwa hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu waliowahi kujifunzia mtandaoni ni changamoto Gani mmewahi kutana nayo na vipi...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Kijana wangu ana ufaulu wa div 3. Ufaulu wa masomo yake ni History B na Geography C. Masomo yote yaliyo baki ni D. Je anaweza jiendeleza kama private candidate.
0 Reactions
2 Replies
60 Views
Anonymous
Niishi Geita, nilisoma katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mafinga (Mafinga College of Health and Allied Sciences – MACHAS), ambacho awali kilijulikana kama Clinical Officer Training Centre...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Habari ndugu zangu. Naomba ushauri wa chuo bora kusoma Masters katika fani ya Mazingira, au waste management na course ipi nzuri ukiachana na Environment Management, Disaster management na...
3 Reactions
23 Replies
468 Views
Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika...
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayojitokeza katika Hospitali ya Rufaa ya St. Francis, Ifakara-Morogoro (St. Francis Referral Hospital), ambayo pia hutumika kama hospitali ya mafunzo (teaching...
5 Reactions
25 Replies
666 Views
Anonymous
Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi...
2 Reactions
10 Replies
508 Views
Naombeni ushauri nisome cozi ipi ata ikitokea nimekosa ajira basi nijiajiri, nimehitibi tahasusi ya CBG
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16 Biology A Chemistry A Physics C Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi...
10 Reactions
113 Replies
17K Views
Anonymous
Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika...
2 Reactions
3 Replies
146 Views
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya...
1 Reactions
12 Replies
461 Views
HUYU KIJANA NI CLINICAL OFFICER MUAJIRIWA, ALISOMA CBG AKAPATA DIV 2 YA 12 mwaka 2016 ANAOMBA USHAURI AKASOME KOZI IPI KATI YA HIZI 1;Bach of land management and valuation 2; bach of project...
1 Reactions
9 Replies
595 Views
Anonymous
National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao...
0 Reactions
7 Replies
287 Views
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi...
6 Reactions
46 Replies
733 Views
Anonymous
Mabasi ya chuo hayana seatbelts, na inatokea safari za masafa marefu kuenda kwa mfano Tanga, Moshi, Pwani, kitu ambacho sio salama Wanafunzi tunatamani waboreshe hayo mabasi au wabadilishe...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Anonymous
Wahitimu wa UDOM 2025 hatujarudishiwa overpayment zetu licha ya kuandika barua za kuomba kurudishiwa. Wengine waliokuwa wanadai kuanzia laki moja walilipwa ila sisi wenye tunaodai kuanzia laki...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Anonymous
Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Back
Top Bottom