ASILI NA SAYANSI
Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi...
Kabla mtu yoyote haja anza kujadili habari ya uwepo wa dini ni muhimu atambue kuwa dini inaongelea mambo ya kiroho.
Kiroho ni mambo ya sirini, kulingana na habari za watu wa kale sirini ndio...
Hata katika mtu sio kila mahali pana hatari au unyeti ndio hivyo hivyo kwa kiumbe sayari dunia.
Kidole cha mkono kina kazi lakini kikikatwa na kutolewa mtu hawezi kupoteza uhai wake, hata katika...
Sayari ya dunia ni kiumbe chenye uhai, ni hai kutokana maisha yanaendelea.
Kiumbe ni kitu chenye viungo, mfumo wa fahamu na kiumbe pia kina sehemu nyeti zake na hata sehemu ambazo kiumbe akiguswa...
Watu wa kale walitumia wanyama mfano njiwa kufikisha ujumbe mahali pa mbali, na kwa mujibu wa o njiwa walifuata vitovu vya nguvu za kiroho kufika anapo elekea.
Vitovu hivyo vya nguvu za kiroho...
Elimu ya utawala jinsi ya kutawala ni maarifa ya moja kwa moja kutokana na uhusiano wa sehemu mbili za uwili.
Elimu ya familia, ukoo, jamii, eneo kubwa na mambo mengine mengi.
Hivyo zamani pakawa...
Moja ya maarifa ya siri ya zamani za kale ilikuwa ni sehemu moja katika uwili ina maarifa juu ya sehemu ingine lakini haiwezi kufanya moja kwa moja.
Hivyo watu wa zamani wakajifunza Maarifa ya...
Kwenye uwili sehemu moja iko na miundombinu au taratibu za siri sana zinazo fanya kuwepo kwa sehemu nyingine.
Watu wa zamani waka chukua mifano miwili mmoja wakaangalia jinsi mti ikiwa...
Katika uwili watu wa zamani walitambua kua kama kuna vitu vinavyo onekana basi vipo vitu visivyo onekana, wakasema ikiwa kwenye mwanga ni sehemu ya vitu kuonekana basi ni sehemu ya maisha kwa vitu...
Ni kweli kwamba kukielewa kitu vizuri sio lazima uwe umekitengeneza au kukiumba wewe, bali hata kwa kukifuatilia jinsi na namna ya utendaji wake, au kitu hiko kiku simulie namna yake au ubahatike...
Maendeleo ni utaratibu au matokeo mapya zaidi ya jambo lililokuwepo.
Kitu kinaweza kuwa hitaji lako kwa ajili ya kufanikisha utulivu flani, kika kufanikishia utulivu huo kila wakati na ukajua...
Watu wa zamani walijifanyia hazina za vitu vya thamani kwao wenyewe.
Ndani ya hazina zao palikuwepo na thamani za aina mbalimbali ikiwemo elimu au maarifa ya kimaandiko, michoro , alama na vitu...
Kurizika ni hali ambayo ni binafsi sana kwa maana kilicho rizika au aliye rizika ndiye pekee anaweza kuelewa kwa undani namna iyo hali ya kurizika ilivyo kwake.
Kila kitu au mtu anaweza kurizika...
Kubadilishana maarifa ni jambo la asili kabisa ambalo linatokea kulingana na mazingira au hali iliyopo. Mtu mmoja anaweza akawa na ufahamu wa jambo flani, ikawa ni hiari yake kusema au kuto...
Naombeni hii post mods mnisaidie kuiweka kwenye kero.Dira ya maendeleo 2025-2050 inasema elimu na ujuzi kwa maendeleo ya taifa na katika hilo waziri mkuu aliepita alishauri na kusistiza sana watu...
Nilienda kutibiwa katika Zahanati iliyoko Chuo Kikuu cha MUST Mbeya University of Science and Technology, sikuwa na pesa cash ila huyo Mganga Mkuu ana Lipa Namba yenye majina yake, akaniambia...
Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu.
Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma...
Mimi ni mhitimu wa Diploma katika chuo cha Ukutubi na Uhifadhi nyaraka School of Library and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Dar es Salaam, chini ya Maktaba ya Taifa.
Tangu tulipoanza...
Wadau, nimejaribu ku'attach' doc hii nimeshindwa. Nimeamua niipaste hapa:
WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUU KWA SERIKALI KUHUSU MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWA MARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI...
Habari wakuu!
Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.