sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Habari zenu..!!jaman mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka(2015)na kupata div 3 ya point 25 japo comp haikubalance sasa nataka kujiunga na Chuo chochote cha Afya kwa kuwa nilipata D ya Chemi na Bios zingine C chache na Dzote hivyo naombeni ushauri wenu niende chuo gana cha Afya na kwa kozi gani.???Ahsanten wapendwa :0683831517