Udereva veta

Kama chuo kiko karibu ni vema uende mwenyewe ukaulize,itakuwa ni fursa pia ya kuwahoji kila utakalohitaji. Kuna chuo kimesajiliwa na veta na NIT. ada ni Tsh.270,000/= Kozi ni mwezi mmoja,wastani wa mafunzo ni 20 days.
 
Back
Top Bottom