naona hujamwelewa yeye aliomba na nahisi labda alipata mambo yakawa magumu hakuomba chuo we huon kama jina lake lipo kwenye system ya heslb. ok hakupata chuo ni sawa it means mkopo ulibaki kule kule hhaukutimwa katka chuo chochote coz hakuomba. wasiwasi wangu ni jina.kama hujawai pewa mkopo hamna haja ya kwenda bodi..heslb wanahifadhi data za waliopewa mkopo tu..hapo wewe omba tu upya bro
mkuu.. hpo hakna tatzo.. kna jamaa alionba mkopo akapata n chuo akapata ila hakwenda chuo huo mwaka... mwaka uliofuata aliomba upya kila kitu na akapata bila shida.. now yuko 2nd year sautnaona hujamwelewa yeye aliomba na nahisi labda alipata mambo yakawa magumu hakuomba chuo we huon kama jina lake lipo kwenye system ya heslb. ok hakupata chuo ni sawa it means mkopo ulibaki kule kule hhaukutimwa katka chuo chochote coz hakuomba. wasiwasi wangu ni jina.
ok nafrah kuskia hilimkuu.. hpo hakna tatzo.. kna jamaa alionba mkopo akapata n chuo akapata ila hakwenda chuo huo mwaka... mwaka uliofuata aliomba upya kila kitu na akapata bila shida.. now yuko 2nd year saut
Kama hukuomba chuo huwezi pewa Mkopo, mkopo huambatana na chuo unachosoma, kinachohitajika fika bodi kwa ufafanuzi.Mwaka Jana niliomba mkopo ila wakati wa kuomba chuo hali ilikua mgumu mwishowe sikuomba chuo..
Mwaka huu nimeomba chuo, je nifuate hatua vipi maana mwaka Jana nishaomba mkopo? Je, niombe tena mkopo au nifanyeje wadau?
Nahitaji ushauri wenu.