Chuo cha ufundi simu na computer kwa miez 2

Chuo cha ufundi simu na computer kwa miez 2

dr lumilo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Posts
271
Reaction score
68
Wakuu wana jf naomba msaada wa mawazo ni wapi chuo gani naweza kujifunza ufundi computer na ufundi simu kozi fupi kwa muda wa miez 2 tuu.. msaada kwa anaye pafahamu kwenye walimu waliobobea kwenye fanii..
 
Mh miezi miwili, utajifunza kufungua tu alifu.
 
Wakuu wana jf naomba msaada wa mawazo ni wapi chuo gani naweza kujifunza ufundi computer na ufundi simu kozi fupi kwa muda wa miez 2 tuu.. msaada kwa anaye pafahamu kwenye walimu waliobobea kwenye fanii..
kwanza kabisa uchague kimoja wapo sio tamaa mara simu mara computor.alafu hakunaga ufundi wa kujifunza mda kidogo kama huo na ukawa na uwezo wa kufanya kazi ya mteja .watu wanajifunzaga hayo mambo miaka mitano labda kama unataka kuwa mganga njaa.watafte mafundi wa hayo mambo ukajifunzie hapo hapo.sio chuo hauta jua lolote
 
Back
Top Bottom