MWANA WA NGURUMO
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 228
- 473
Wadau,
Wanaoweza kujua/kubashiri ni lini matokeo ya CPA yanaweza kutoka mnijuze. Maana naona siku zinasogea sana na ninahamu ya kujua nilichovuna.
Nawasilisha.