Result Slip form four 2015

TIKEI

Member
Jul 16, 2013
62
6
Habari za jioni wadau,

Naomba nijue kama baraza la mtihani bado linautaratibu wa muyoa result slip?
Inahitajika kesho na mwanafunzi kamaliza mkoani ambako shule zimefunga, mpaka zikifungua nitakuwa nimechelewa.
 
result slip haiuzw pia haitolewi zaid ya mara moja inaprintiwa necta na kutumwa mashulen pia hutumika kwa muda2(expire date)
 
Back
Top Bottom