Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Naomba kwa anaejua hili anisaidie....
1. Nina mdogo wangu kapangwa chuo cha st Joseph kusomea MD...
Fees ni zaidi ya million 6 kwa mwaka...
Je..akipata 100% kutoka HESLB inamaana hiyo yote...
Habari wakuu,
Mada zinazohusu bodi ya mikopo zimekuwa nyingi jukwaani kutokana na kipindi hiki kuwa cha ujazwaji wa fomu husika, hatusemi kuwa tunakuwa mbadala wa HESLB katika kujibu maswala...
Ratiba ya mihula ya vyuo vikuu inafahamika. Inafahamika pia kuwa kuna wanafunzi ambao hawana namna nyingine ya kusoma bila mkopo.
Kama vyuo vimefungua hawa heslb wanadhani watu watajikimu kwa...
HI..........................................
NDUGU ZANGU MIMI NIMEPATA NAFASI YA KUSOMEA UTAALAMU WA MAABARA ZA BINADAMU NGAZI YA DIPLOMA.ILA KWA SASA NASOMA UALIMU NGAZI YA DEGREE KATIKA CHUO...
Wakuu,
Tovuti ya IFM, www.ifm.ac.tz imepigwa kipapa na hackers. Ilikuwa miongoni mwa tovuti dhaifu kabisa nchini ingawa inadaiwa chuo kinazalisha wataalamu wa IT.
Ikiwa imeondolewa hewani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.