Account yangu ya helbs siielewi!!

Account yangu ya helbs siielewi!!

Wakuu kila nikiingia kwenye profile ya account yangu ya mikopo (helbs) nakuta information zangu zipo vle vile kama mwanzo hadi kuprint naweza kuoprint form yangu swali langu ni hili ivi hii ni kwa kila mtu au ni kwangu tu?
ni kwa kila mtu boss so stop worrying.....
 
mimi nimeandikiwa not applied higher education student loan board 2016/17 academic year kwenye list ya waliokosea simo sijajua tatizo nini
 
Hiyo ni mikwara tu ya board, ninaamini hata ukiprint haita respond..... Cha msingi ni kuweka pozi na kusubiria waachie majina...
 
Wakuu kila nikiingia kwenye profile ya account yangu ya mikopo (helbs) nakuta information zangu zipo vle vile kama mwanzo hadi kuprint naweza kuoprint form yangu swali langu ni hili ivi hii ni kwa kila mtu au ni kwangu tu?
Heslb mkuu
 
wengi tu mkuu
 
Mimi yangu inaandika kuwa sijawa allocated for the first batch
 
Back
Top Bottom