MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016
Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia...
Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu.
Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.
Ndugu zangu poleni sana kwa majukumu ya kila siku na mawazo makali kwa wale ambao bado tulikosa mikopo kwa first batch ya bodi ya makopo.Ilihaidiwa kuwa tarehe 1/10 zingetolewa form za kukata...
Habari wana jamvi.
Poleni kwa wale waliokuwa katika heka heka za selection ya chuo na maswahibu yake kupitia TCU. Ila tushukiru mungu hadi hapa tulipofika.
Okay naomba niende moja kwa moja...
Mimi ni kijana wa miaka 19 Baada ya kumaliza kidato cha 4 mwaka 2014 katika shule ya serikali na kupata GPA 0.6
Yaani
Math F
Civics E
Kiswahili C
Geography F
History D
Biology F
E.Language D...
habar .kuna baadhi ya watu majina yetu yapo kwenye link ya TCU Tumechaguliwa vyuo lakin tukiangalia kwenye list ya majina chuoni hatupo .mfano mm TCU wamenionesha nimechaguliwa UDOM lakin kwenye...
Naamini humu kuna wenzetu wametutangulia katika viwango vya elimu ...hivyo basi Naomba mtusaidie ni vitu gani huwafanya au kuwachochea vijana wengi wanapo ingia chuoni kubadilika na kujiingiza...
Wadau mpooo. Nina smartphone kila nikitaka kudownload application kwenye play store naletewa Ujumbe huu "Authentification is required. You need to sign into your Google account."
What should I do...
*BIBLIA INA VITABU 66,SASA CHUKUA 66 TOA UMRI WAKO KISHA JUMLISHA 50 ...UTAPATA MWAKA WAKO WA KUZALIWA....*
*#JINA LA BWANA LIPEWE SIFA*
Naombeni kueleweshwa kuhusu logic ilotumika hapo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.